Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ilimapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.Mchana mwema
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafikizako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zakowanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya,tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi nizawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,nawezakusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyowangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana
nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyowangumahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendolkn kwa msamaha wa raisi mapenzinmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapodaima milele.nakupenda mpz
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,Kwa sababu NAKUPENDA sana